Mhina Martin
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 144
- 189
Mimi nimuajiriwa wa Kijijini chenye idada ya Watu 2300 ,shughuli zao kubwa ni kilimo cha mahindi Kwa Sana maharage Na Mpunga kidogo ,zao la mkonge limetawala baadhi wazee wanapga pesa za mkonge so hichi kijijini kilikuwa hakina umeme muda, Ila kwa sasa tangu May 2 Tanesco wameanza Kazi kuleta maguzo Na kusambaza nyaya hivyo mwezi huu Umeme unawaka Katika hichi kijiji My point Juu ya ujio huu wa umeme naweza nikaanzisha biashara Gani itakayonipatia kipato Ili nicheze Na hii fursa mapema Nakaribisha Ushaur,Maoni Na mitazamo napokea