Mhina Martin
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 144
- 189
Sasa kama wewe msomi unakuja JF kuokba ushauri, hao wanakijiji nani atawashauri.Mimi nimuajiriwa wa Kijijini chenye idada ya Watu 2300 ,shughuli zao kubwa ni kilimo cha mahindi Kwa Sana maharage Na Mpunga kidogo ,zao la mkonge limetawala baadhi wazee wanapga pesa za mkonge so hichi kijijini kilikuwa hakina umeme muda, Ila kwa sasa tangu May 2 Tanesco wameanza Kazi kuleta maguzo Na kusambaza nyaya hivyo mwezi huu Umeme unawaka Katika hichi kijiji My point Juu ya ujio huu wa umeme naweza nikaanzisha biashara Gani itakayonipatia kipato Ili nicheze Na hii fursa mapema Nakaribisha Ushaur,Maoni Na mitazamo napokea
"Kuuliza kitu haimaanishi kwamba hujui"Sasa kama wewe msomi unakuja JF kuokba ushauri, hao wanakijiji nani atawashauri.
Thanks ndug nimechukua ntafanyia kazAnzisha mashine ya kusaga hayo mahindi, au kuchakata mkonge (Pre processing)
Katani huijui kabisa MkuuNatamani nijue kuhusu hilo zao la mkonge
PamojaAhsante kwa taarifa...
Naijua, lakini natamani kupata elimu zaidi kuhusu vitu kama upandaji wake, uvunaji, uchakataji wake into finished goods, gharama ya maintanance, mauzo n.kKatani huijui kabisa Mkuu
Yaani hili liwe la kwanza, wooote wakuuzie mahindi hata kwa mkopo saga unga sambaza maduka ya kijiji kizimaThanks ndug nimechukua ntafanyia kaz
Sawa MkuuYaani hili liwe la kwanza, wooote wakuuzie mahindi hata kwa mkopo saga unga sambaza maduka ya kijiji kizima
Anzisha mashine ya kukukoboa mpunga na kuweka kwenye vifungashio na mashine za kukamua alizetiMimi nimuajiriwa wa Kijijini chenye idada ya Watu 2300 ,shughuli zao kubwa ni kilimo cha mahindi Kwa Sana maharage Na Mpunga kidogo ,zao la mkonge limetawala baadhi wazee wanapga pesa za mkonge so hichi kijijini kilikuwa hakina umeme muda, Ila kwa sasa tangu May 2 Tanesco wameanza Kazi kuleta maguzo Na kusambaza nyaya hivyo mwezi huu Umeme unawaka Katika hichi kijiji My point Juu ya ujio huu wa umeme naweza nikaanzisha biashara Gani itakayonipatia kipato Ili nicheze Na hii fursa mapema Nakaribisha Ushaur,Maoni Na mitazamo napokea