Hapo utawini sana mkuuu do it with excellenceSawa, sema tu sina taaluma ya vitu hivyo, itapaswa nitafute mtaalamu wa ishu hizo.
amenunua kibena hospitali upande gani? au ni kule igagala?Ungejarib kufanya research mwenyewe lakini wengi humu atujui eneo husika, labda niwaachie watu wenyeji wa huko
Mgodechi.amenunua kibena hospitali upande gani? au ni kule igagala?
weka nyumba ya kupangisha wagonjwa na hoteliMgodechi.