Tafakari: Funika aibu zao na sio kuwaaibisha

Ujumbe mzuri sana na ni wachache sana wenye kuweza kuficha siri.
 
Sasa kwanini hukuwaeleza kwamba iliandaa Juece glass 2 kwakuwa ulikuwa hujui kama watakuja watatu?
 
Tatizo wakwe wa siku hizi bado wabichi unaweza oa mtu na mwanae.
 
Anajua hapa wakwe zake wanamfunga bao[emoji23][emoji23].



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Naona comment nyingi za kusema watu kama huyo kaka ni wachache sana...

Swali, je wewe upo upande gani? Kwanini usiwe kama huyo mkaka?
 
Very nice story watu wanaojua kusoma matatizo ya wenzao na kuyatibu wabarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…