Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Nimejaribu kutafakari kwa kina sakata la bodi ya ligi kuhairisha mechi ya Yanga dhidi ya Simba baada ya Simba kufanyiwa figisu za kuzuiwa kutumia uwanja wa taifa siku moja kabla ya mechi.
Hivi msukumo wa bodi ya ligi kuhairisha ile mechi ulitokana na Uzito wa madai ya Simba kunyimwa fursa za kufanya mazoezi ndani ya uwanja wa mechi siku moja kabla au ni ule mkwara mzito wa Simba kutangaza hawatacheza ile mechi?
Najaribu kuwaza, yamkini Simba pamoja na kufanyiwa figisu zote zile na bado wangesema tupo tayari kukabiliana na Yanga siku ya mechi, je bado bodi ya ligi wangekuja na tangazo la kuhairisha ile mechi?