ccm na CUF kule visiwani have one thing in common
NATIONAL INTEREST ya visiwa vyao...wanaja in the next 5 to 10 yrs the so called muungano utakuwa ushakwisha au utakuwa hauna nguvu kama ulivyo sasa na kubwa zaidi in the next 20 yrs hautokwepo kabisaa enzi hizo a barrel of oil itakuwa ni $200
in short wote hawautaki Muungano sema nyie watu wa bara ndio mnaoungangania
ohh i dont see anything wrong wakiamua kudeclare Independence from Mafisadi wa Tanganyika
"Wote hawautaki" halafu "nyie watu wa bara ndio mnaoungangania" bona hapo siku somi mkuu? Unapo sema wote hawautaki I'm assuming it's the two paties involved which is Tanganyika & Zanzibar then you come to say Tanganyika "mnaoungangania" hauoni hapo kuna ka contradiction? Au?
wote hawautaki kwa maana CUF na CCM znz na common enemy wao ni watawala wa bara ambao if anything ndio wanaoungangania huo muunganio
tafuta kitabu cha ABOUD JUMBE kinachoitwa PARTNERSHIP utaelewa nina maana gani
ninaposema WaTanganyika nina maana watu wa Tanzania Bara na wasio utaka huu muungano wenu ni watu wa Unguja na Pemba
ushanpata hapo?
ccm na CUF kule visiwani have one thing in common
NATIONAL INTEREST ya visiwa vyao...wanaja in the next 5 to 10 yrs the so called muungano utakuwa ushakwisha au utakuwa hauna nguvu kama ulivyo sasa na kubwa zaidi in the next 20 yrs hautokwepo kabisaa enzi hizo a barrel of oil itakuwa ni $200
in short wote hawautaki Muungano sema nyie watu wa bara ndio mnaoungangania
ohh i dont see anything wrong wakiamua kudeclare Independence from Mafisadi wa Tanganyika
Kwanza unajua sana "kutabiri" nafikiri unatumia maono kutoka..lol acha kupotosha watu...Nimesikia tetesi kuwa kama JK anabwaga manyanga 2010 basi chaguo muafaka (CCM na CUF) ni Profesa Ibrahimu Lipumba. What interests do CCM and CUF have in common huku bara ? Kwa nini CCM na CUF kwa pamoja hawafurahii hatua za Chadema kuwachukulia hatua wakorofi ndani yake ? Je hao wavuja siri za Chadema wanazipeleka kwa nani ?
Kama kuna wakati CCM inahitaji msaada wa CUF, ni sasa - kuivuruga Chadema.
lakini kama wote hawautaki huu muungano kwa nini wasiweke madhumuni public na kudemand uhuru publically? Bado sielewi ni kwa vipi kama kweli wana nia ya kujitenga washindwe kufanya hivyo au at least kucome put in the open na kusema sisi cuf na ccm z'bar tumeuchoka huu muungano na hatuutaki.
Btw nita kitafuta hicho kitabu.
CCM is dying but CCM, like a cat, has more lives than one. Suddenly, somehow things begin to happen and men go at work ! Chadema has to tread very very carefully and take appropriate actions without delay bearing in mind;
- The unholy alliance between CUF and CCM
- Who needs the other and why ?
- What are their common interests ?
- Who is their common nemesis ?
- I can smell something very fishy and very wrong here, how about you ?
Heri wewe umeona. RA ameunganisha CCM na CUF huko ZNZ. CUF wameahidiwa mambo na Karume. Lakini pia wameahidiwa ufalme wa bara, kwa maana ya kuongezewa nguvu ili kuifunika CHADEMA.
Ni sehemu ya mikakati ya RA baada ya kutajwa kwenye list of shame. Aliapa kuimaliza CHADEMA kisiasa.
CHADEMA nayo imeingia mtegoni, vuta nikuvute inayoendelea ndani yao ni sehemu ya equation hii. Pengine maamuzi ya Slaa yanaweza yakawaokoa.
Jiulize; kuna ndoa gani kati ya CUF na NHC miezi ya hivi karibuni?
PM
Unatabiri ukiwa na mawazo ya ki-waraka waraka kwenye kichwa chako..basi unakosa akili unaunganisha dots..kueleza hisia zako za kidini (kikristo).na hofu yako hasa iko hapa popular muslim political leaders ..basi raha tupu..endelea kutabiri..agh!Hayawi hayawi, sasa yamekuwa - oneni wenyewe ! Kwa mbali nauona mwafaka kati ya CUF na CCM na kabla ya uchaguzi natabiri alliance za ajabu ajabu. Chadema watazidi kutibuana lakini vumbi litakapotulia kitazidi kuimarika na kuwa kimbilio la wapenda maendeleo na watetezi wa maslahi ya taifa. CCM watazidi kuumbuana na mwisho wa siku kitakachowaokoa maisha ni mashine ya kupumulia itakayopatikana CUF. CUF wako njia panda na ama kulamba kiatu cha baniani au kubwaga manyanga bara na kubaki kisiwani. Kama fisi, turufu ya CUF bara ni mkono wa binadamu, je utadondoka ? - binadamu mwenyewe ni Chadema.
Ndoto ya CUF - Raisi Lipumba, Makamu wa Raisi CCM, Waziri Mkuu Zitto na Raisi Zanzibar Shariff na Waziri Kiongozi CCM. Hii listi inakubalika ndani ya CCM kwa asilimia kubwa tu na mawaziri wengi bara watatoka CCM. Huu ndio mkakati wa CCM katika kuikabili TSUNAMI ya Chadema na fadhila kwa CUF kwa kuinusuru ikiwa hoi bin taaban ! Wenye kuunganisha dots watafanya hivyo na wale wanaochapa usingizi wasubiri 2015 watakapoamka na kutahamaki, loo tumeliwa. Ukisikia minong'ono ya serikali ya mseto jua moja tu, ukiona vyaelea vimeundwa yakhe - yangu macho !
Unatabiri ukiwa na mawazo ya ki-waraka waraka kwenye kichwa chako..basi unakosa akili unaunganisha dots..kueleza hisia zako za kidini (kikristo).na hofu yako hasa iko hapa popular muslim political leaders ..basi raha tupu..endelea kutabiri..agh!
Nimesikia tetesi kuwa kama JK anabwaga manyanga 2010 basi chaguo muafaka (CCM na CUF) ni Profesa Ibrahimu Lipumba. What interests do CCM and CUF have in common huku bara ? Kwa nini CCM na CUF kwa pamoja hawafurahii hatua za Chadema kuwachukulia hatua wakorofi ndani yake ? Je hao wavuja siri za Chadema wanazipeleka kwa nani ?
Kama kuna wakati CCM inahitaji msaada wa CUF, ni sasa - kuivuruga Chadema.
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa - oneni wenyewe ! Kwa mbali nauona mwafaka kati ya CUF na CCM na kabla ya uchaguzi natabiri alliance za ajabu ajabu. Chadema watazidi kutibuana lakini vumbi litakapotulia kitazidi kuimarika na kuwa kimbilio la wapenda maendeleo na watetezi wa maslahi ya taifa. CCM watazidi kuumbuana na mwisho wa siku kitakachowaokoa maisha ni mashine ya kupumulia itakayopatikana CUF. CUF wako njia panda na ama kulamba kiatu cha baniani au kubwaga manyanga bara na kubaki kisiwani. Kama fisi, turufu ya CUF bara ni mkono wa binadamu, je utadondoka ? - binadamu mwenyewe ni Chadema.