tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Binafsi mpaka sasa uelewa nilionao juu ya serikali yetu juu ya mambo mengine likiwemo suala la MCHAKATO WA KATIBA MPYA MPAKA KUFIKIA HATUA YA UPIGAJI KURA ni kuwa serikali hii ni mchawi wa maendeleo,amani na upendo wa Watanzania.Na ninafuraha kuiita hata SERIKALI UKOMA.
Serikali kwa makusudi mmeuharibu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya ya Watanzania wote na mnakuja kuwapumbaza watanzania kwa kuipambapamba kuwa inawafaa kumbe ni uharo mtupu na dhambi hii mtalipwa hapahapa duniani,
lakini mnaona haitoshi mnaamua kutumia mabilioni ya shilingi kuhonga wananchi na kuwapa vitisho mkiwarubuni waipigie kura ya NDIYO na mnatamba lazima ipite,
binafsi nafikiri makundi mbalimbali yangeruhusiwa kusambaza hii elimu ya uraia kwa raia ili wafanye maamuzi yenye manufaa kwao na kuliko kuwazuia elimu dhidi ya kura ya HAPANA kama vp msiweke kura.
Ila nawambieni tupo kupambani nanyi kila eneo na kila idara. CCM=Carlpeters,SERIKALI=Mangungo wa Msovero, Mwisho nasema "MBUMBUMBU ANA STAREHE KWENYE NCHI YA MAFISADI"