"vunja ukimya zungumza na mwenzio"unawafundisha nini??wakiachika utawachukua??kaungane na watu wa tgnp au a.nkya!kwenye majukwaa:nono:!!
Kweli kabisa.Kama upo kwenye uhusiano halafu haujisikii amani kufanya yale yaliyo sahihi tambua kuwa hapo unaburuzwa kihisia,mfano mpenzi wako akikukosea unaogopa kumwambia kwa kuhofia atakuacha tambua una maradhi ya utegemezi wa hisia,yaani umempa mtu mwingine mamlaka ya kukuamulia hisia zako,hili ni tatizo kubwa,jikomboe kwa kubadilika,bahati mbaya wengine huita hali hii kupenda wakati ni maradhi ya hisia,jitambue na ubadilike!
Kama upo kwenye uhusiano halafu haujisikii amani kufanya yale yaliyo sahihi tambua kuwa hapo unaburuzwa kihisia,mfano mpenzi wako akikukosea unaogopa kumwambia kwa kuhofia atakuacha tambua una maradhi ya utegemezi wa hisia,yaani umempa mtu mwingine mamlaka ya kukuamulia hisia zako,hili ni tatizo kubwa,jikomboe kwa kubadilika,bahati mbaya wengine huita hali hii kupenda wakati ni maradhi ya hisia,jitambue na ubadilike!