Tafakari Masharti ya Benki ya Dunia kwa Uganda kwamba hawakopesheki hadi Wakubali Ushoga vs IGA ya TPA na DP World!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiufupi ni kwamba hii Dunia inaelekea mwisho

Wakati tunalia na IGA ya DP World tuwaangalie World Bank nao na Masharti yao kwa ndugu zetu wa Uganda

Unaweza usiwalaumu kabisa Waarabu hata kama IGA yao huikubali

Mlale Unono πŸ˜„
 
Mlale Unono [emoji1]
Usifananishe mambo ambayo hayafanani
Kaa kimya
 
Kiufupi ni kwamba hii Dunia inaelekea mwisho

Wakati tunalia na IGA ya DP World tuwaangalie World Bank nao na Masharti yao kwa ndugu zetu wa Uganda

Unaweza usiwalaumu kabisa Waarabu hata kama IGA yao huikubali

Mlale Unono πŸ˜„
Dunia haielekei mwisho, bali dunia sasa ndio inajifunua vizuri.
Huu upuuzi wa hawa washenzi kuendelea kutawala wengine kwa njia za kipumbavu hizi sasa unaelekea mwisho wake.

Itachukua muda kidogo, lakini mwelekeo sasa upo wazi.
 
Kiufupi ni kwamba hii Dunia inaelekea mwisho

Wakati tunalia na IGA ya DP World tuwaangalie World Bank nao na Masharti yao kwa ndugu zetu wa Uganda

Unaweza usiwalaumu kabisa Waarabu hata kama IGA yao huikubali

Mlale Unono πŸ˜„
Kwani masharti ta Waarabu kwenye Mkataba wa Bandari yanatofauti gani na ushoga .

Mambo ni yaleyale tu. Hata mchina aliitaka Bandari ya Bagamoyo kwa masharti ya kipumbavu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…