Elections 2010 Tafakari na chukua hatua sahihi

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
NImesoma bango hili la wanaNzega nimepata tafsiri kubwa moja ! Watanzania wamechoka na Tamthilia za Hekaya za Jakaya Kikwete.






Haya hili libango la Kitanzania lenye wimbi la umasikini lakini ujumbe makini kabisa.

 

Attachments

  • JK+NA+KIARO.JPG
    102.7 KB · Views: 41
  • P1040933.JPG
    42 KB · Views: 45
Looohh!
Inatia uchungu na hasira!
Hizi ahadi zitakuja kumtoa roho!...kuchamba kwingi...!
 
PJ inawekekana Kikwete Hamnazo ama waliomzunguka! Nashawishika angechanganya na zakwake hali isingekuwa mbaya! Nashawishika yeye na waliokaribu naye ni hamnazo!
 
Haya mabango kunamengine ilibidi asiyaweke si mazuri hiiiiiiiiviiii aliyemshauri ni MAKAMBA EEEH!
 
Hilo bango la Nani Anaropoka nimelipenda ghafla!:dance:
 
mmh mwaka huu kazi ipo Mungu atusimamie kwakweli.
 
Ishu jamaa anajua WaTZ wa leo ni wale wale wa Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama.
 
Kilaza fisadi nambari wani Tanzania!

Hivi hawa wanaccm inakuwaje wanamuachia mtu ambae sio muasisi wa chama kuweza kukiharibu kufikia hatua ya kuweza kutukanwa hadharani namna hiyo!! Uko wapi ushujaa wa wazee wakina Mtandika na Rajab Diwani ambao waliweza kumchallenge mwalimu pale ambapo waliona alikuwa anapindisha mambo? Kikwete anakaidi bila woga ushauri wa wazee kuwa Makamba hafai kwani anakipeleka chama matopeni hivyo angefaa kutoswa; lakini wapi hasikii na ndio anazidi kumkumbatia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…