Tafakari na Kipanya: Mchungaji anaacha mifugo ijiongoze yenyewe

Anita Kajembe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2021
Posts
215
Reaction score
487
masood.PNG
 
Bado sijaelewa, mchungaji nj nani na ng'ombe ni nani
 
Mpaka Wote Wachanjwe Johnson And Johnson
Wala si chanjo. Ila kila anachosema Rais wao wanafuata tu. Hata tozo sasa ni kimya japo walilalamika. With time tozo waliyoilalamikia wataizoea tu.Kama ulishawahi kuwa Ndemi utanielewa. Hii imenifikirisha kipindi tukienda likizo kwa Babu ,basi tulikuwa tunaswaga Ng'ombe. Hata wabishe mwisho wa siku wanatii amri ya Ndemi.
 
Kama wanapelekwa kuchanjwa kwa hiari ila kwa fimbo
Hapo ndio mtajua hiyari Ina maana ngapi
 
Bado sijaelewa, mchungaji nj nani na ng'ombe ni nani
Kiongozi yeyote kwenye kitu chochote,Ng'ombe ni waongonzwa wowote ambao mwisho wa siku wanakubaliana na matakwa ya Ndemi. Hata kama anawapeleka kuzimu .
 
Watz ni watu wepesi sana kuwatawala

Nakumbuka kuna kipindi dokta slaa alimtishia dokta Kikwete kuwa nchi haitatawalika Ila Kikwete aliishia kucheka tu maana alijua reaction ya nyumbu inavyokuaga
 
Mpaka Wote Wachanjwe Johnson And Johnson
Hadi wafike mbinguni cheki wanapaa hao na yeye kakaa nyuma

ingekua ni Johnson Johnson basi mama angekaa mbele maana kachanja

gwajiboy huyo anapeleka hesabu mbinguni
 
Wala si chanjo. Ila kila anachosema Rais wao wanafuata tu. Hata tozo sasa ni kimya japo walilalamika. With time tozo waliyoilalamikia wataizoea tu.Kama ulishawahi kuwa Ndemi utanielewa. Hii imenifikirisha kipindi tukienda likizo kwa Babu ,basi tulikuwa tunaswaga Ng'ombe. Hata wabishe mwisho wa siku wanatii amri ya Ndemi.
kwakweli ndiyo maana hata kina pambalu na myika wamepoteza mwelekeo sasa
 
Watz ni watu wepesi sana kuwatawala

Nakumbuka kuna kipindi dokta slaa alimtishia dokta Kikwete kuwa nchi haitatawalika Ila Kikwete aliishia kucheka tu maana alijua reaction ya nyumbu inavyokuaga
Slaa yuko wapi sasa
 
Back
Top Bottom