jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Labda alimaanisha inakoswagwa kuna muinuko mkali kiasi ya kuporomoka na kumjerui mswagaji?Picha haina uhalisia na kinachomaanishwa
Hivi hapo unawezaje kukaa mbele ya mifugo na kuiongoza??
Mifugo inaswagwa kwa nyuma na sio kwa kukaa mbele alafu ikufuate
Picha haina uhalisia na kinachomaanishwa
Hivi hapo unawezaje kukaa mbele ya mifugo na kuiongoza??
Mifugo inaswagwa kwa nyuma na sio kwa kukaa mbele alafu ikufuate
Ng'wangaluka,Ng'wamisha mhola ahene ?