GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ni nyimbo ya gospel sioSijui kama ni Mtanzania au ni Mkenya, wala simfahamu hata jina, lakini ujumbe wa wimbo wake umenibariki.
Uusikilize na wewe!
πππAsante kwa Bandiko Mkuu.
BARIKIWA SANA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
NdiyoNi nyimbo ya gospel sio
Sijui kama ni Mtanzania au ni Mkenya, wala simfahamu hata jina, lakini ujumbe wa wimbo wake umenibariki.
Uusikilize na wewe!
Ni mnyarwanda kama sikoseiBarikiwa sana Gold
Inaonyesha hivyoNi mnyarwanda kama sikosei
πππBarikiwa sana Gold