ok,sawa mkuu,hata kama ni hivyo ni lazima uende nae muziki??????? Au unataka upolwe tena na mwanamuziki mwimgine????? Elewa kuna musician wataalamu wa kupora vya watu haipiti sekunda,demu wako keshapagawa, sekunde moja kosa. Wewe kazi yako itakuwa kulima wenzio wanavuna? Unalikubali hilo?????????????? Acha abaki homeee. Ataliaaaa weeee atanyamaza, atanunaaaa, mwisho atacheka. Mwisho wa yote atazoea.
JEMA: nilivunja uchumba uliokuwa hauna mwelekeo
BAYA: nilichelewa mchakato muhimu sana katika maisha yangu kutokana na kuwa nje ya nchi
wako wengi hawa MKUU.................AKIJIREGESHA MMOJA....UNABEBA.point taken tall ngoja tumsubirie mwenye bahati mwingine
wako wengi hawa MKUU.................AKIJIREGESHA MMOJA....UNABEBA.
ukienda kumpima ukakuta yupo fit,waweza kumsamehe................hadanganywi tena huyo.hata aje mwanamuziki toka usa.dah demu alipewa simu akaongea na akina prof jizee na wengine akaona kaula
kamegwa afu akapigwa chini
ukienda kumpima ukakuta yupo fit,waweza kumsamehe................hadanganywi tena huyo.hata aje mwanamuziki toka usa.
kwani sisi ni wabaya????? ukitaka kujua sisi ni wema muulize tu jamaa yako KAMA NI MWEMA AU MBAYA JIBU UTALIPATA.
1.POA TU MKUU ILA,mmmmmh wajanja wengi hapa mkuu. Unawezakuwa unaongea na demu kuja kukutana KUMBE DUME mwenziosijui na mimi niliungurumishe li thread la kutafuta?
sinilikuambia?????? Sisi wanaume sikuzote ni viumbe wema sana sana.sijasema wote bwana....ye najua ni mwema!!!
ooooh???? kumbe alikuwa mkeo??POLE SANA. imeandikwa kwenye vitabu vya dini kuwa ni kifo au zinaa ndizo husababisha talaka. Kwa hiyo kama unaushahidi wa kutosha.conret evidence kuwa ALIMEGWA. SIO USHAHIDI WA MAZINGIRA. NASEMA USHAHIDI WA KUTOSHA.kaka zambi hii tu! ndo inayoruhusiwa kumtaliki mkeo sasa mi nirudi tena?
ooooh???? kumbe alikuwa mkeo??POLE SANA. imeandikwa kwenye vitabu vya dini kuwa ni kifo au zinaa ndizo husababisha talaka. Kwa hiyo kama unaushahidi wa kutosha.conret evidence kuwa ALIMEGWA. SIO USHAHIDI WA MAZINGIRA. NASEMA USHAHIDI WA KUTOSHA.
BASI WAWEZA MWACHA. HAPO HATA MUNGU YU PAMOJA NAWE LAKINI MAMBO YA KUHISIHISI...HUYO NI WAKO HADI UMKUTE RED HANDED AU AKIRI MWENYEWE ALIMEGWA.
sinilikuambia?????? Sisi wanaume sikuzote ni viumbe wema sana sana.
na baada ya mmegaji kukiri uliimuuliza mmegwa nae alikubali? isije ikawa jamaa anakuharibia tu,hajaonja wala nini?hakuwa mke braza shortie tu wa kitaa
kuhusu kumegwa haikuwa na utata mmegaji mwenyewe ndo alinithibitishia