Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takriban kumi na kenda.
Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "Kwanini wewe mjinga unajipaka mate? "Mtoto akamjibu" jana usiku nilisikia mama akiambia baba "kama haiingii paka mate hapo kichwani ujaribu tena" kisha mama akamuuliza, "imeingia?"baba akamjibu,"ndio. Imeingia yote" nami nimejipaka mate kichwani ni jaribu tena nione kama hii hesabu itaingia yote!