Tafakari ya babu!!!!!!

Tafakari ya babu!!!!!!

chiko

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
590
Reaction score
271
TAFAKARI YA BABU

Jamaa kaoa mke mshamba asiyejua uume wala mapenzi.

Usiku wa ndoa, Mke akamuuliza mume, " hiki nini?"

Bwana akajibu, "Yaitwa popoo, ninayo mimi tu hapa duniani!!"

Huku jamaa akaongezea.


Siku moja jamaa akasafiri.

Kurudi mke akamuuliza "Mbona jirani yetu Noel naye anayo popoo wakati ulisema unayo wewe tu?"

Jamaa akajua Noel Keshamegaaa!!!!!!!.

Kujibaraguza jamaa akajibu, "Nilikuwa nazo mbili, nikampa Noel moja".

Mke akahamaki na kusema, "Iweje umpe Noel kubwa, nzuri na tamu ubaki na kipisi tu?,
Nenda kachukue hiyo na umpe yako, kama hutaki nahamia kwake!!"

Haya, tafakari hayo!!!………………………
 
Du....hii kali...ila mkuu nawe ngono imekaa kichwani sana

Ndo Hivyo kwani ukituona tumekaa kijiweni stori zetu zipi?, Tuliiwachiwa na Mababu zetu!!!!!teh eh eh ehhh
 
Back
Top Bottom