Tafakari ya Leo: Unaweza kupewa sifa sehemu ya kupewa pole tafakari

Inategemea amebeba nini humo, mkuu? Usikute ni gunia lililojaa manyoya. Hatuwezi kusema lolote hadi tuhakikishe kwa uzani, jamaa amejitwika kilo ngapi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Mkuu ile sio kitu ya kumpa sifa NI kumpa pole Ila jamii ya sasa itamsifia ana nguvu
 
Pia unaweza kupewa pole mahali pakupewa sifa, be wise!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…