Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaitwa bila ubishi wowoteMuungano wetu ni waaajabu.inamaana wachezaji kutoka Zanzibar wanaweza kuitwa tena timu ya taifa kwa michuano hiyo?
Watanzania mkuuKwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo?
Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo?