Tafakari ya Muungano

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Sina mengi Ila chati hii inaonyesha jinsi muungano wetu ulivyo wa kipekee

 
Muungano wetu ni waaajabu.inamaana wachezaji kutoka Zanzibar wanaweza kuitwa tena timu ya taifa kwa michuano hiyo?
 
Katiba yetu imetutenga maana inasema Michezo sio sehemu ya mambo ya Muungano.

Ni budi hata CAF na FIFA wangeitambua ZENJI kuwa ni Nchi inayojitegemea kwenye nyanja ya Michezo ili wawe wanashiriki kivyao
 
Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo?
 
Kwanini wachezaji wa Zanzibar wakija kucheza timu za ligi kuu bara wanahesababika kama wazawa wakati hatuna muungano kwenye michezo?

Kwenye michezo hatuna Muungano, Lakini bado Zanzibar inakosa uhuru kamili kwenye suala la Michezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…