Elections 2010 Tafakari yangu

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,804
Reaction score
12,227
Jana Kibonde alianza kwa salam ya "Asalam Alleikum" (kama kawaida yake) ok.

Embu tu-assume ladba ule ungekua ni mdahalo wa Dr Slaa,, na muuliza swali angeishia kutoa salamu ya upande mmoja wa kikristo labda ,,,"Bwana YESU Asifiwe" na kuendelea na swali.

Je wezetu waingeichukuliaje hasa ukizingatia hoja ya udini inatumika kuihujumu CHADEMA?

Mbona sisi tunauvumilivu lakini wenzetu hawana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…