Nyani Na Kima Wanaweza Kufurahi Sana Wakisikia Yule Binadamu Aliyekua Anawafukuza Kwenye Shamba La Mahindi #KAFARIKI.
Furaha Yao Itakua Ya Muda Maana Misimu Itakayofuata Itakua Ya Tabu Sababu Hakutakuwa na Mtu Atakayelima Lile Shamba Tena! Watagundua Ni Bora Angebaki Wawe Wanashiba Japo Kwa Kufukuzwa Kuliko Kukosa Kabisa
TAFAKARA