Siamini kama wakati mwingine utulivu huletwa na kuridhika. Kuna wakati utulivu huletwa na kutojitambua. Naheshimu mawazo yako lkn hata sasa wapo wengi tu wasioridhika na bado wametulia. Mimi situmii nguvu sana kuandika, nguvu yangu ya kuandika jambo km hili ni sawa na chozi la samaki ktk bahari. Kwa hiyo usiumie sana kuandika kwangu huku endelea kukatika viuno na kuimba ccm baba lao, hao unao waimbia wanakula nchi na wewe utabaki kuimba tu.Hakuna tatizo, wananchi wameridhika ndo maana kuna utulivu. Haijalishi ni nn serikali inafanya, ukiona utulivu ujue watu wameridhika. Siku wasiporidhika utaona tu matokeo wala hata hutatumia nguvu za kuandika makala. Cc'm baba Lao.
Tukiwapa Chadema mutarekebisha wimbo au itakuwa ni yaleyale?Siamini kama wakati mwingine utulivu huletwa na kuridhika. Kuna wakati utulivu huletwa na kutojitambua. Naheshimu mawazo yako lkn hata sasa wapo wengi tu wasioridhika na bado wametulia. Mimi situmii nguvu sana kuandika, nguvu yangu ya kuandika jambo km hili ni sawa na chozi la samaki ktk bahari. Kwa hiyo usiumie sana kuandika kwangu huku endelea kukatika viuno na kuimba ccm baba lao, hao unao waimbia wanakula nchi na wewe utabaki kuimba tu.
Upinzani ni nchi gani? Bahati mbaya mimi sipo huko nipo Tanzania. Kama ilikuwa unamaanisha vyama vya siasa vya upinzani pia bahati mbaya mimi sio mwanachama wao. Ninaumizwa na Tanzania inavyoendeshwa halafu tunategemea matokeo chanya. Naamini hata hao wapinzani siku wakichukua Dola na kufanya kama haya wanayofanya CCM nitaongea tu kwa sababu ni haki yangu.Mku jaribu pia kutafuta ushauri kwa Mze Sumaye uone ana lipi la kusema huko upinzani kama Demokrasia ipo au wote wanasiasa ni walewale.
Unachoongea ni sawa na kupigana na kivuli chako mwenyewe.Tukiwapa Chadema mutarekebisha wimbo au itakuwa ni yaleyale?