Tafakuri Jadidi: Fukuto la Kongo, Kabila (Baba) alimwandaa Mwanaye Joseph tangu Kunduchi Mtongani, Tanzania

hata mimi nakuunga mkono, Joseph Kabila sio mtoto wa Laurent Kabila.

Kabila ni mtoto wa Mzee Msingi Penenge aliyekuwa anaishi Tandale kwa mtogole miaka ile ya 80.
Kunamengi kumbe
 
Bakongoman wanasumbuliwa na wazungu, kuna rasilimali wachukua na ili waendelee 4
 
heko mkuu,na pale nahc mpk Yesu arudi ndo watatulia
 
Taabu kubwa DRC ni raslimali nyingi, kutokuwa na mfumo thabiti wa utawala, viongozi wabinafsi, Viongozi wakuu wa majeshi wajasiliamali, Nchi jirani kama Rwanda ,Uganda ni wanufaika wakubwa wa Vita mashariki Congo.
 
Tangu alipouwawa Lumumba DRC haiwezi kutulia kirahisi tu. Kutaibuka sababu za kuhalalisha mifarakano na utajiri wao utaendelea kuondoka ndani ya makontena ya futi 20 pale bandarini Dar.

Hiyo ndio laana ya rasilimali. Bahati nzuri sana Tanzania hatukuwa na msingi wa kujitawala kama wa mataifa mengi ya afrika. Yanayowasumbua waafrika wenzetu tumekuwa tukiweza kuyatambua mapema na hivyo hayatusumbui.

Kuna yule mpuuzi mmoja wa EU alitaka kuanzisha chokochoko lakini atakuwa kasimuliwa Tanzania ilivyo na tofauti na mataifa mengine yaliyoharibiwa na mbinu chafu za kibeberu tangu zilipopata uhuru wa bendera miaka ya 1960 mwanzoni.
 

Beberu akimbiwi.Kama unakalia raslimali na hazikunufaishi zakufaa nn.
 
Hata ukimuoa hatataka uzao na ww km cyo mtusi.Ataaga anaenda kwao kusalimia atabeba mimba ya mtusi mwenzie atarudi kwako.Na huwa hata km ni mama wa nyumbani lkn lazima atatumika kiintelijensia kwa manufaa ya Rwanda.
True we huoni wale majasusi wa kiuchumi waliotumia uzuri wao kuwasomesha namba wazee wetu wakashindwa kuvurukuta sababu ya nguvu ya Kei.
 
Hata ukimuoa hatataka uzao na ww km cyo mtusi.Ataaga anaenda kwao kusalimia atabeba mimba ya mtusi mwenzie atarudi kwako.Na huwa hata km ni mama wa nyumbani lkn lazima atatumika kiintelijensia kwa manufaa ya Rwanda.
True we huoni wale majasusi wa kiuchumi waliotumia uzuri wao kuwasomesha namba wazee wetu wakashindwa kuvurukuta sababu ya nguvu ya Kei.
Joseph Kanambe.
Vipi mfano PAKA Mungu akimpenda zaidi as human nature je mpango wa Kivu kujitenga utaendelea kuwepo Ili kujiunga na nchi ya East Africa au ndo utakufa kibudu.
 
Mkuu kama mleta mada atasoma hili bandiko lako, ajue amezungumzia juujuu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…