Tafakuri Jadidi: Fukuto la Kongo, Kabila (Baba) alimwandaa Mwanaye Joseph tangu Kunduchi Mtongani, Tanzania

Migogoro ya congo haitokwisha ni Hadi PAKA asipokuwepo,congo ndilo shamba lake,
 
Hiyo remote inayochanganya mambo ya drc ni pamoja na wahima wa rwanda na drc. Wao wanataka ku create historia ya manufaa kwao. Ni watu waongo wabinafsi wapenda ukuu wa dola. Hebu mwandishi tueleze kwa nini mzee laurent kabila mwenyewe aseme joseph ni mwanae wengine wazue maelezo tofauti? Joseph sio mtoto pekee wa mzee laurent kabila kwa nini achague mtoto sio wa kumzaa yeye na kumwamini kama mwanae wa kumzaa? Mzee kabila inaaminika ana watoto wengi tu alizaa kongo na tanzania na wanawake mbalimbali.
Hakika joseph mwenye chembechembe ya tabia ya kitanzania ametoa mchango mkubwa wa siasa za amani na kustaamiliana. Sema drc ni nchi ngumu kuongoza na sasa iko kwenye mikono ya mtu anayeweza kuirudisha nyuma kwa kuleta ubaguzi na ukabila.
 
Hii maada naona ni nzito, alafu imeandikwa na Maelezo mepesi mnooo....
 
Nasikia afya yake sio nzuri hajaonekana hadharani kwa muda
Unajua haya majitu reasoning yao huwa chini sana sababu ya elimu,wanadhani unaweza pata furaha au kuwa na afya nzuri kwa kuumiza watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…