kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Ndugu zangu ikiwa bado kuna mgogoro ukiendelea kufukuta nchini Ukraine, tumeshuhudia vikwazo na matamko mazito kutoka kwa NATO members na European union kwa Urusi. Ikiwa nato ataamua kwenda field physically kupambana na majeshi ya urusi, je Urusi ataweza kupambana mwenyewe?
Ikumbukwe Nato ni muunganiko wa nchi zaidi ya 30, je Urusi atakua na power ya kupambana nao?
Je, mataifa rafiki kama China, North Korea, Cuba, Iran nk wamemuacha solemba Russia? Je wataweza kutuma vikosi vya kijeshi kwenda kumsaidia mwenzao?
Ni nini hatma ya dounia ikiwa Urusi ataanguka kiuchumi na kua weak sana kijeshi? Je, Syria, Venezuela na belarusi serikali zao zitabaki salama?
Je, China anamchora mrusi? Ikiwa mrusi ataanguka, je China atafanikiwa kwenye ndoto zake za kua super power?
Tunapojadili hii mada, wale 'vichwa panzi' waliojaa ushabiki na mahaba, naomba muishie hapa. Tunataka 'critical thinking' juu ya maswali haya. Karibuni tujadili.