Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wewe ndio umelima ndani ya eneo la reli, si kwamba reli imepita shambani kwako.View attachment 1648110
Kama Reli Imepita Shambani Kwako...
Na kama ilimopita reli tayari ni tuta.
Na kama treni haipiti juu ya reli kwa msimu mzima wa kilimo, kuanzia kupanda, palizi hadi mavuno.
Je, kuna dhambi gani kwa mwenye shamba kulima mahindi yake na akayavuna kabla ya msimu wa treni kuanza kupita?
Ni Tafakuri Jadidi.
Inakuwaje hadi mtu avamie hifashi ya reli na watendaji wa serikali wapo, kuanzia ngazi ya Kijiji Hadi mkoa?Wewe ndio umelima ndani ya eneo la reli, si kwamba reli imepita shambani kwako.
Hapo hata hati hana.
Serikali sikivu imelala, ngoja iamke.Inakuwaje hadi mtu avamie hifashi ya reli na watendaji wa serikali wapo, kuanzia ngazi ya Kijiji Hadi mkoa?
Hatari sanaSerikali sikivu imelala, ngoja iamke.
Kimara wanalijua hilo!