Even MOre
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 204
- 298
HilI jambo nazani liko well planned na ma elite wachache wanaojua wanataka kufanya nini. Rejea cartoon film za The Symptons ambazo zilitoka zamani lakini zikiwa na matukio yajayo miaka kadhaa mbele yakiwa yamewekwa katika code na mengine yakitaja maeneo ya tukio, muda na mwaka husika. Eg (Corona virusi, Kurejea tena kwa Donald Trump kuwa Rais wa USA na mwaka husika, ugonjwa huu mpya uliogundulika China kwa sasa)
Kwa rejea hiyo ukijaribu kufuatilia mfululizo wa film hizo kuanzia za miaka ya 90s utakutana na matukio yaliyowahi kuonyeshwa kuwa yatatokea na kweli yakatokea kwa miaka husika exactly kama walivyotabiri. So hiki ni kikundi cha wahuni wachache wanaopanga mipango ya dunia then wananifanya ku predict matukio yajao huku wakiwa na uhakika wa kile walichokipanga kukitekeleza. (Miaka ya nyumba kuna story ya mji mmoja uliowahi kuteketezwa kwa moto wa ajabu kama hivi kwa ajili ya minajiri ya kujengwa upya kwa plan za wahuni wachache).
MAMBO MACHACHE YA KUJIULIZA KUHUSU MOTO HUO
1. Uoto wa asili ya kijani kibichi na unyevu wa maeneo hayo ni kwa kipindi chote cha mwaka baadhi theruji kiasi, moto wa kawaida hauwezi kuwaka kamwe rather than kama ni moto utakaotokana na gas/mafuta kumwagwa katika maeneo husika.
2. Aina ya moto unazimwa na kuendelea kuwaka (rejea picha za video za ndege za kuzima moto wakimwaga maji unapungua na kuongezeka tena) jambo ambalo si la kawaida kwa moto wa kawaida kwani inasemekana maji hayo huwa na mchanganyiko wa forms flani ambazo hutumika kuzimia moto.
3. Moto unaovuka maeneo ambavo hayana vitu vinavyo support moto kuwaka kama barabara, swimming pool, maeneo ya wazi nk
Je, wewe nini kipi kinakufikirisha juu ya huu moto na hupati majibu? Comment 👇🏻