Kwa sasa kuna tatizo la CHADEMA kukimbiwa na wanachama kulikoni! Hali hii imeikumba NCCR Mageuzi. kwenye vyama vya upinzani, kuna kabila linajiunga kimaslahi binafsi.
kwa sasa kuna tatizo la chedema kukimbiwa na wanachama kulikoni. hali hii imeikumba nccr mageuzi. kwenye vyama vya upinzani kuna kabila linajiunga kimaslahi binafsi. Tafakuri.
Kilichoikumba nccr ni tofauti kabisa, mmoja alikimbiwa maana aligeuka chawa wa serikal, mwingine sababu ya kubadili uelekeo wa chama na kutaka upinzani wa kweli