Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Hivi dini zinaweza badili uelewa wa watu kiasi hiki?Hadi watu waelewe tofauti na kuelezea vitu vilevile tofauti kiasi hiki?Walioblackmail uhuru wanataka dai kuwa walileta uhuru na wanataka historia yao juu ya uhuru ndio iwe kweli na hakuna mtu ktk wazee anahoji hilo?
Nilimpenda mzee mmoja wa Kirangi kule Kondoa aliyepigana vita ya burma aliniambia kashachoka dini,kwani kaona mengi sana duniani n hapa nyumbani.Alinisimulia umasiki wa Kondoa pamoja na kwmaba mazaoa wanayovuna ni ya mamilioni ila umasikini ni asili, akalalamika sana kuwa Pakistani km haikulamizishwa na baba yao wa taifa Nehru,wangekuwa mbalia sana kiuchumi,sasa wanasingizia India na US,na Israel ndio sababu ya ugaidi wao na umasikini wanaoogelea ndani yake raia wake huku wanajeshi na watawala wakila maisha.