msemakwelii
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 216
- 47
Moh'd said ni janga kwa umoja na mshikamano baina ya waislamua na wakristo
Labda wanaikubali Historia feki ya Radio na TV Imaan inayotolewa na vilaza na wachochezi wakubwa! Kwa hakika Redio hii inazidi kudumaza elimu ya wanaoisikiliza na kuiamini!Kwani uliwahi sema unamhitaji Miriam makeba kuimba wimbo bora wa kiswahili wa "Malaika"? Kwani uliwahi sema unawahiataji Google watafriri website yao na machapisho mablimbalia kwa kiswahili?,kwani uliwahi waambia microsoft watafsiri windows na programs nyingine kuja ktk kiswahili? Mbona hujajiandaa kuzikataa kazi zao ?
Hivi wewe unadhani unauwezo wa kujua uongo unaofundishwa? Kweli yote unayofundishwa mf Kanisani unadhani kweli? Mf umewahi kuona picha ya Yesu? Je ni kweli alizaliwa tarehe 25/12? Mbona unaamini tena bila hata kuhoji.....
what if sina uwezo wa kuujua uongo ila ninao wa kujua kweli?Siwezi fundishwa kweli halafu isiwe kweli.Yes nimewahi iona,Soma "the Shrine of Turin"
Kwani tar ya kuzaliwa kwake inathibitisha hakuzaliwa?Au hakufanya aliyofanya?Mbona wazee kibao na hata vijana hawajulikani walizaliwa lini.
sanda ya yesu hapo imeingia vipi?halafu wajua kwa hapa bongo ni wachache sana wanaojua kuhusu hiyo sanda ya yesu.TURIN SHROUD
Nilijua tu msingeshindwa kutamani Radio Imaan ifungiwe, siku zote Ukweli unauma. Watu kama ninyi mlio mawakala wa Wayahudi hamkosi kufikiri hayo. Pingeni kwa hoja msikimbilie kuamuru serikali kama mlivyozoea nyinyi na maaskofu wenu