flulanga JF-Expert Member Joined Jul 1, 2016 Posts 4,860 Reaction score 6,390 Jan 20, 2019 #21 Nakubaliana nawewe Sent using Jamii Forums mobile app
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 11,795 Reaction score 36,704 Jan 20, 2019 #22 Ninachompenda huwa hatumii madaraka yake kunyanyasa wapinzani. Hata alipokuwa TAMISEMI alishirikiana vizuri na wapinzani. Ma RC aina ya Mwanri na Mtaka Jiwe hawezi kuwapeleka kwa wapinzani maana anaogopa hataua upinzani
Ninachompenda huwa hatumii madaraka yake kunyanyasa wapinzani. Hata alipokuwa TAMISEMI alishirikiana vizuri na wapinzani. Ma RC aina ya Mwanri na Mtaka Jiwe hawezi kuwapeleka kwa wapinzani maana anaogopa hataua upinzani
P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,487 Reaction score 13,611 Jan 20, 2019 #23 Injinia soma hiyooooo....tano bila mkuu.