Ukizaliwa binadamu, ujue mateso, umaskini, njaa, kuumizwa kihisia, magonjwa ndo yanakusubiri.
Ukiwa tajiri kuanzia kuzaliwa hadi kufa kwako basi kama una dhambi, jehanamu ya moto inakusubiri ili uchomeke milele.
Haya mateso tunayopitia hapa duniani naona kama hayana ulazima, kwa sababu kama Mungu ni muweza wa yote na anamiliki vitu vyote na sisi binadamu ni sehemu ndogo sana ya uumbaji wake kuna ulazima gani wa sisi binadamu kuteseka na njaa na umaskini, na magonjwa?