Tafakuri ya FaiizaFoxy 4: Historia. Professor Rudolph T. Ware III ni Mohamed Said wa USA?

Wewe ajuza hata sijahangaika kusoma maandishi yako. Najua unatoaga Boko tu.

[emoji23][emoji23]
 
Sio darsa ni darasa na sio khiyana ni hiyana acha kutuharibia kiswahili ajuza wewe.

BTW hii mada haina maana ni ya kijinga ndio maana inapitwa kama mwanamke malaya
Drip,
Kuwa muungwana la unachojua ni matusi si majadiliano utapigwa ban.
 
Dunia ingekuwa na uungwana bunduki zisingetengezwa. Dunia imejaa unafiki.
Hii inaitwa akili kubwa M.S anajifanya mjuaji sana na nilishamwambia simpendi uzee unampeleka kubaya
 
Dripboy,
Huu ni uwanja tunafanya majadiliano hatutukanani.

Ilikuwa uulize tu ni mabadiliko gani Mohamed Said kaleta katika historia ya Tanganyika.

Hapo sote tungechangia na kukuza elimu zetu.

Sahihisho ya lugha.
Ni "mabadiliko," si "mabadiriko."
Kumbe kuuliza siku hizi ni matusi? Basi nitatukana sana JF
 
Wewe bibi unazo akili za nyuma sana.
Naona unauchochea moto ulioanza kuzima, unaleta dharau za kibibi bibi mkuda wewe
 
Ahaaaaaaa humo humo Mama Yngu Mie Waukae...
 
"Alim" ni msomi, "Alama" ni Mwalim wa wasomi.

Kama ndio hii maana yake ungetumia tamko "Ulamaa" ingeleta maana zaidi kuliko tamko "Alama" sababu kutofautisha inakuwa ngumu hata katika sentensi sahali.

Japokuwa tamko "Ulamaa" kiasili ni wingi ila kwetu sisi waswahili tumelipa sifa ya umoja na wingi wake ni Maulamaa,hii ni kwa mujibu wa tunavyowasikia Waswahili.
 

Alama ni sahihi kabisa na mpaka kuna watu hupewa jina hilo kwa sifa zake.

Ni sifa na jina adhyim na adim, hupewa wake kwa kwa waume, halina "gender".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…