Soma kitabu cha Imaam Abubakar Aajuri kiitwacho "Akhalaq al Ulamaa" uwajue kina nani Ulamaa sio unaandika vitu bila marejeo.Aah, kijana wetu Zurri haelewi kuwa hiyo ni "honorific title" ya Waislam wanaowacha athari "impact" ya kielimu kwenye jamii.
"Literally" ni Mwalim wa Waalim.
Allama na Ulamaa ni vitu viwili tofauti ingawa "root" ni ile ile. Ulamaa ni wingiSoma kitabu cha Imaam Abubakar Aajuri kiitwacho "Akhalaq al Ulamaa" uwajue kina Ulamaa sio unaandika vitu bila marejeo.
Inaonekana hata Kiswahili kinakushinda,hasa kwenye kipengele cha ufasaha. Hukupaswa kusema vitu viwili tofauti ungeandika ni umoja na wingi tu,maana ingekuwa imetosheleza.Allama na Ulamaa ni vitu viwili tofauti ingawa "root" ni ile ile. Ulamaa ni wingi
(Plural) akiwa mmoja anaitwa Alim (singular). Allama ni mmoja, mwenye kufundisha wote, hata wanaofundisha.
FaizaFoxy, kwanini ni kwa Waislam tu? nilidhani ni kwa mtu yeyote aliyeleta matokeo chanya kwenye jamii bila kujali dini, kabila au asili yake. Zaidi napenda mijadala unayoleta hapa jukwaani.hiyo ni "honorific title" ya Waislam wanaowacha athari "impact" ya kielimu kwenye jamii.
Isome post yote hiyo utaelewa tu. Umejibu kwa kusoma mstari wa kwanza tu. Kuwa makini kijana.Inaonekana hata Kiswahili kinakushinda,hasa kwenye kipengele cha ufasaha. Hukupaswa kusema vitu viwili tofauti ungeandika ni umoja na wingi tu,maana ingekuwa imetosheleza.
Sasa hoja yako hapo ni ipi ? Kwamba unaniikosoa au ? Kama unanikosoa unanikosoa kwenye nini ?
Asipo elewa hilo somo hatoelewa tenaDarasa ni chumba cha kusomeshea au kufundishia. Darsa ni kile unachosomeshwa.
Khiyana: Kwetu ambao lugha yetu mama ni Kswahili twatamka hivyo.
Hiyana = khiyana
Haini = Khain
Ningekupa darsa zaidi kuhusu chanzo cha maneno hayo lakini nakupa "homework" kidogo, nenda kachimbue kuhusu "Cain" wa kwenye Bible halafu urudi kueleza jina hilo Kihebrania linatamkwaje na uje utupe kisa cha Cain.
Huwa sikisii.
Nilikufahamisha juu huko, hii mada ni nzito kwako, naona mada umeachana nayo unatafuta pakutokea.
Narudia, huwa sikisii.
Ulikuwa unamjuwa Mshume Kiyate kabla ya kumsoma kwa Alama Mohamed Said?Ajuza wewe M.S kaleta mabadiriko gani?
= Abu Bakr Al Ajurri.Soma kitabu cha Imaam Abubakar Aajuri kiitwacho "Akhalaq al Ulamaa" uwajue kina nani Ulamaa sio unaandika vitu bila marejeo.
Naona kule kwa ISIS ukaondoka mazima. Nakukumbusha tu nakudai.=