Mbahili
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 281
- 525
Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliyegundua herufi alikuwa anawaza nini?
Mfano:
A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I?
Angalau W daliyuuu.... sababu alishagundua d, a, b, l, i hiyo y nina mashaka nayo na u.
Masharti ya kukoment hii post:
1. Kama uliishia darasa la nne usijibu sababu huna idea ya nilichokiandika
2. Kama unasema ze badala ya the usijibu pia
3. Kama ulikuwa unakacha vipindi vya kiingereza haikuhusu
4. Kama ulivalishwa bango la swahili speaker fuata mstari wa kutokoment
4. Pia kama husimami na mama kaa kando