Tafakuri Yangu Kuhusu Tamko la Mwenyekiti wa TCD

Tafakuri Yangu Kuhusu Tamko la Mwenyekiti wa TCD

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Inaonekana wengi tumeaminishwa na Tamko la TCD kuhusu maazimio ya kikao chake na Mh Rais, najiuliza;


  1. Hivi TCD kina mandate gani ktk nchi hii? (naamini ni NGOs
  2. Hivi tamko hilo lina legality yoyote?
  3. Kwa nini Serikali isioe tamko Rasmi? (kama lipo naomba liwekwe hapa)
  4. Hivi kwa nini tumeaminishwa na tamko hili? (MAGAZETI ETC)
  5. Hivi Mwenyekiti wa TCD ndiye pia msemaji wa Ikulu
  6. Kwa nini Mh Waziri Mkuu atoe tamko la tarehe ya UCHAGUZI LGA baada ya tamko la TCD?
  7. Hivi uwakilishi wa TCD una maana gani kwa watz?
  8. kwa nini BMK halikushirikishwa kwenye mazungumzo na JK
  9. hIVI HUENDA ukawa ndio wakawa wameliwa japo walishangilia? (hawajasoma alama za nyakati)
 
Back
Top Bottom