Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Inaonekana wengi tumeaminishwa na Tamko la TCD kuhusu maazimio ya kikao chake na Mh Rais, najiuliza;
- Hivi TCD kina mandate gani ktk nchi hii? (naamini ni NGOs
- Hivi tamko hilo lina legality yoyote?
- Kwa nini Serikali isioe tamko Rasmi? (kama lipo naomba liwekwe hapa)
- Hivi kwa nini tumeaminishwa na tamko hili? (MAGAZETI ETC)
- Hivi Mwenyekiti wa TCD ndiye pia msemaji wa Ikulu
- Kwa nini Mh Waziri Mkuu atoe tamko la tarehe ya UCHAGUZI LGA baada ya tamko la TCD?
- Hivi uwakilishi wa TCD una maana gani kwa watz?
- kwa nini BMK halikushirikishwa kwenye mazungumzo na JK
- hIVI HUENDA ukawa ndio wakawa wameliwa japo walishangilia? (hawajasoma alama za nyakati)