Tafakuri yangu ya leo kuhusu Wazungu

Tafakuri yangu ya leo kuhusu Wazungu

bakar shomar

Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
53
Reaction score
54
Siku zote tumekuwa tukisoma historia ya mtu mweus, vitabu vingi vimeelezea historia ya mtu mweus walau kidogo tumesoma historia ya Waarabu. Je, ushawahi kujiuliza kuhusu wazungu:

- Wametokea wap!?
- Nini asili yao (Asili yao ni wapi)?
- Kwanini kwenye filamu nyingi za kiimani Mzungu ana-act kama Malaika na Mtu Mweus ana act kama Shetani

Je, Shetani ni Mweusi nae!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka sisi watu weusi tuwe malaika kwenye hizo movie sisi basi director awemtu mweusi lakini story atunge mwingine alfu uitwe kucheza utake scene unayoitaka wewe hio kitu sio rahisi kupewa.
 
Kidini, binadamu wote walianzia Eden, na wazazi wa kwanza walikuwa Adam na Eva. From there wakatawanyika duniani kote. Kuhusu ushetani na umalaika, well, story nyingi na media zimeanzia huko kwa wazungu. Nadhani kama waafrika ndo wangekuwa wako frontline na media na historia, kuna uwezekano mkubwa wazungu wangegeuziwa kibao na kuwa portrayed kama mashetani.

Kihistoria, binadamu walichimbukia Africa, wakaradiate all over. Zote bado ni nadharia
 
Adam na Hawa walikuwa ni weusi wale? Sasa wale ndo wazungu walipoanzia😅
 
Kidini, binadamu wote walianzia Eden, na wazazi wa kwanza walikuwa Adam na Eva. From there wakatawanyika duniani kote. Kuhusu ushetani na umalaika, well, story nyingi na media zimeanzia huko kwa wazungu. Nadhani kama waafrika ndo wangekuwa wako frontline na media na historia, kuna uwezekano mkubwa wazungu wangegeuziwa kibao na kuwa portrayed kama mashetani.
Kihistoria, binadamu walichimbukia Africa, wakaradiate all over. Zote bado ni nadharia
Sorry mkuu, ni nini kilisababisha mpaka tukawa race tofauti tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki zilianzia kwa Wa-Africa kuchukia Ma-zeruzeru yaani Albino wenye ngozi km ya yao! mliwaona dhaifu! wao wakawafanya madhaifu zaidi, na hawataki muwajue sana. mpaka leo zeruzeru akifa Mahiti yake haijulikani!
 
Historia yenyewe inaandaliwa na wadhungu,jaribu kufikiri tu kama Historia ingeandaliwa na Mtu mweusi, asingejisema anatokana na Nyani, lazima angetengeneza historia nzuri.ingekuaje kama wasingekuja wamisionari na wafanyabiashara, tusingekuwa na teknologia tungesema tumetokea wapi?
 
Back
Top Bottom