bakar shomar
Member
- Dec 6, 2013
- 53
- 54
Sorry mkuu, ni nini kilisababisha mpaka tukawa race tofauti tofautiKidini, binadamu wote walianzia Eden, na wazazi wa kwanza walikuwa Adam na Eva. From there wakatawanyika duniani kote. Kuhusu ushetani na umalaika, well, story nyingi na media zimeanzia huko kwa wazungu. Nadhani kama waafrika ndo wangekuwa wako frontline na media na historia, kuna uwezekano mkubwa wazungu wangegeuziwa kibao na kuwa portrayed kama mashetani.
Kihistoria, binadamu walichimbukia Africa, wakaradiate all over. Zote bado ni nadharia
Lakini fuvu la mtu wa kale kabisa si limegundulika olduvai Tz mkuu?Adam na Hawa walikuwa ni weusi wale?
Sasa wale ndo wazungu walipoanzia[emoji28]
Lile fuvu linaeleza ni mtu wa rangi gani?Lakini fuvu la mtu wa kale kabisa si limegundulika olduvai Tz mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app