#COVID19 Tafiti: COVID-19 ilisambaa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi

#COVID19 Tafiti: COVID-19 ilisambaa miezi miwili kabla ya kutangazwa rasmi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Tafiti mpya imeonesha kuwa Virusi vya Corona vilisambaa miezi miwili kabla ya kugundua maambukizi ya kwanza ambayo yaliripotiwa Wuhan.

Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenti cha Uingereza wameonesha kuwa maambukizi yalianza Novemba 17, 2019 ambapo Januari 2020 yalisambaa duniani. China iliripoti maambukizi ya kwanza Desemba 2019.

Aidha bado wakosoaji wanailaumu China kwa kutaka kuficha taarifa kuhusu chanzo halisi cha #COVID19
 
Back
Top Bottom