The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,080
- 2,026
Hahaha. Zingatia ushauri wakati wa kuoa.
[emoji16] hili suala Behaviourist anayo majibu.Waliooa flat screen walikosea?!...kwahiyo lile bunyanga la kajala sio orijino?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha. Zingatia ushauri wakati wa kuoa.
Proverb 3:5-6
Ni kweli mkuu, Bwana ndio kila kitu. Na yeye ndiye kaumba viumbe haoHahahaaaaaaa
Nafurah kuona wafata maandiko ya bible.
Kumbuka kumtegemea bwana ni kweli tutafanikiwa.
Je aliye leta ushahur huo wa makalio makubwa ni Mungu???
Uwo ushahuri sio kifungu cha biblia my friend.
Umepotoshwa na shaur za binadamu mkuu,
Kinacho nishauri mm ni Neno la Mungu pekee,
Na sio hayo mawazo ya....
Continue to Read Bible.
Sent using Jamii Forums mobile app