Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Tafiti Mpya: Mwili wa Binadamu hauhitaji wanga kabisa - (0%)
HII Ni Tafiti Mpya: Mwili wa Binadamu hauhitaji Vyakula vya aina Ya Wanga kabisaI
HABARI NJEMA KWA WASIOPENDA UNENE NA WANAOTAKA WASIPATWE
MAGONJWA YA KISASA!
Kwa miaka sita iliyopita duniani tatizo la kisukari limeongezekwa kiasi cha asilimia 600%.
Wataalamu wamegundua kwamba, aina ya vyakula sasa hivi vina asilimia kubwa sana za wanga (Carbs) kuliko miaka ya zamani.
Dr. Sarah Hallberg amesema kwamba tofauti na mazoea ya watu wengi, ugonjwa huu unasababishwa na mwanadamu kula wanga mwingi kuliko kiasi kinachohitajika mwilini.
mwanadamu anachohitaji zaidi ni Protini, Mafuta na Vitamini - kwa maana nyingine vyakula kama mchele/wali, mkate, pasta, pizza, viazi mviringo, chips noodles, ugali na mikate isiyotowa chachu (naan) ni VITU VYA KUEPUKA KABISA ili usipate tatizo hili.
Badala yake ule vyakula vyenye protini kubwa kama nyama na mayai, na pia ule mboga za majani nyingi zaidi na matunda, jambo zuri ni kwamba, kuna kiasi cha wanga pia kiko kwenye mboga za majani:-