Tafiti Mpya: Mwili wa Binadamu hauhitaji wanga kabisa - (0%)


Sedentary lifestyle kukaa idle kwa mda mwingi bila mazoezi. Type 1 diabetes mellitus haihusiani na ulaji mbaya ila kushindwa kufanya kazi kwa kongosho.na hakitibiki. Kisukari hiki kinachotesa watu wengi ni type 2 . hiki hutokana na ulaji mbaya, uzito uiozidi, kutofanya mazoezi. Kinatibika ukiwahi
 
kwa maisha ya watanzania wengi hatuwezi kuepuka kula wali,ugali n.k
suala la msingi ni kufanya mazoezi tu hiyo ndo dawa tosha aiseee
 
kila kitu kina faida na hasara zake
siku hizi watu wanashiba wanakaaa
ndio maana huugua
mwendo mfupi gari
hawatoki jasho
hata chakula cha usiku watu wanashindwa
ni balaaaa
 
Kuna familia nyingine kila siku lazima wale ugali(sembe) wakibadisha sana basi ni wali,
kwa nchi za ulaya watu wanaoumwa sana magonjwa kama ya kisukari ni masikini ila kwetu wanaoumwa sana magonjwa hayo ni matajiri kutokana na ulaji mbovu na kutofanya mazoezi hata ya kutembea
 

swali zuri sana na natumaini wengi watafaidika na ushauri nitakaotoa.

1. Tatizo ni kubweteka (sedentary lifestyle) na pia kwa namna moja au nyingine maisha yamekuwa rahisi, wengi watashangaa nikisema hivi ila kwa ukweli kulinganisha na miaka ya zamani maisha yamekuwa rahisi.

2. Kuishi maisha malefu pia inachangia maana kusema kweli wengi wenye tatizo hili ni watu wenye umri mkubwa, wastani ni miaka 35 kwenda juu.

Additional Note:
Mila pia inachangia sana, mtu anakula ugali (unga kilo tatu) na ka mboga kwenye kisosi, hilo sio sahihi kabisa! Mwili unahitaji protini zaidi kuliko kitu chochote. Ni afadhali mtu ale nyama sinia na kaugali robo kilo.

Sasa ni ngumu kubadilisha fikra za watu, ila kuanza kufikiria namna hii itasaidia.
 
kisukari na magonjwa mengine mengi ya sasa yananakisi mabadiliko madogo ya gene zetu bila kusahau kukua kwa uchumi.
mimi binafsi nimegundua kwamba mwanadamu anakuwa weaker na weaker jinsi miaka inavyoendelea. Binadamu wa sasa sio mgumu kama miaka ya zamani, kwahiyo naweza kukubaliana na swala la genes kuwa dhoofu.

Pia UCHUMI, hili ni indirect linasababisha sana stress na mwili unapokuwa under stress kwa muda mrefu hata ule vizuri lazima udhoofike. Ni kama chuma cha reli taratibu kinalika.

wanga unaweza kutengenezwa na mwili toka bidhaa nyingine zisizo na asili ya wanga, hivyo hauepukiki.
wanga unahitajika mwilini lakini kiasi kidogo kinachohitajika kinaweza kupatikana kwenye matunda na mboga za kijani. Ila kiasi hiko ni kidogo na kinatosha kulinganisha kula mkate mweupe, pasta au viazi mviringo ambavyo kusema kweli ni kama kula bakuli zima la sukari.

Ukumbuke wanga unageuka sukari ukiingia mwilini!
 
Cha umuhimu ni kufanya mazoezi tu basi kuburn excessive carbs etc
 

Kama umesoma hadi mwisho ameelezea pia na mfumo wa sasa wa maisha hakuna kazi za kutumia mwili.mf kuendesha magari nk.je huko kwenu kijijini wanaokula ugali wanafanya kazi nyepesi nyepesi?jibu ni hapana kwaio mwili unaweza kupunguza sukar isioitajika kwa kazi ngumu.ila mijin kazi za kumputa na kalamu sukar inabaki mwilin
 
ukiwa huna hela ya kula mbogamboga na matunda Kama mlo kamili basi unakufa kifukara
umaskini ni hukumu ya kifo. huo ndio ukweli mgumu

kwa maisha ya watanzania wengi hatuwezi kuepuka kula wali,ugali n.k
suala la msingi ni kufanya mazoezi tu hiyo ndo dawa tosha aiseee
hilo ndio tatizo, hata kuacha kula wanga kupindukia utasikia kama umepata homa, mimi mwezi June ndio nimesoma hili na ilikuwa shida kwa wiki mbili, baada ya chakula unasikia kama kuishiwa nguvu maana mwili unakuwa shocked kwamba kiasi cha sukari kimepungua ghafla.

Cha umuhimu ni kufanya mazoezi tu basi kuburn excessive carbs etc
sasa hii ni pointless activity, kwanini usiache kula wanga mwingi na kutumia muda wa kukimbia kufanya shughuli nyingine. Ni kama kusema kula sana ukimbie sana, smart people wanapunguza kula ili wasikimbie sana... maana mazoezi pia yanasababisha matatizo mengine kama Arthritis, motor neurone disease etc.

kila kitu kina faida na hasara zake
siku hizi watu wanashiba wanakaaa
ndio maana huugua
mwendo mfupi gari
hawatoki jasho
hata chakula cha usiku watu wanashindwa
ni balaaaa
ndio mana kupunguza inasaidia zaidi kuliko, balanced life ni balanced diet tosha.

ni kweli, ila ongezeko kubwa liko kwenye group mbili ambazo awali hazikuwa affected.. Maskini ya nchi maskini na matajiri wa Nchi tajiri. kwasababu maisha yanapoinuka kila mahali, kila mtu anakuwa vulnerable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…