Tafrisi sahihi ya youth in the move

Tafrisi sahihi ya youth in the move

Nkoma

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49
Reaction score
10
Ni ipa tafrisi sahihi ya sentensi hii kwa lugha ya Kiswahili "YOUTH IN THE MOVE"
 
Mkuu, kwa kuwa ni sentensi pekee bila ya kujua inatoka katika mukhtadha (context) gani, ni shida kujua maana halisi isipokuwa sentensi hiyo ni tamathali ya semi au methali.
Kwa hivuo ninajaribu tu kwa mawazo yangu:
-Ujana unamwenda
-Kijana mbichi
-Harakati za ujana
-Hatua za ujana

Inawezekana isiwe hata moja katika hizi ni maana iliyokusudiwa.
 
Ni ipa tafrisi sahihi ya sentensi hii kwa lugha ya Kiswahili "YOUTH IN THE MOVE"

Kwanza nadhani kiingereza sahihi ni: "YOUTH ON THE MOVE". Kiswahili unaweza kusema "VIJANA KATIKA VUGUVUGU / HARAKATI / MAPAMBANO" kutegemeana zaidi na somo husika.
 
Mkuu uko sahihi hapo kwenye nyekundu ndivyo ilitakiwa iwe asante kwa kunipa mwanga,
 
namuunga mkono drifter hiyo ndio maana niijuayo
 
Kwanza nadhani kiingereza sahihi ni: "YOUTH ON THE MOVE". Kiswahili unaweza kusema "VIJANA KATIKA VUGUVUGU / HARAKATI / MAPAMBANO" kutegemeana zaidi na somo husika.
Ni tafsiri nzuri Mkuu, hongera.
 
Back
Top Bottom