dada ana mawazo makali sana kwani jamaa amelala kabla hawajasolve tatizo linalowakabili,kumwamsha anashindwa matokeo yake hapati usingizi kichwa kimetawaliwa na mawazo:embarrassed1:
...upo deep sana, duuuhhh!
Mpaka umenihuzunisha. Yeah, you might be right.
Ila kimtizamo huoni kuwa Mwanaume ame face 'a challenge' wakati Mw'mke ametoa mgongo?
huyu dada mbu kaa haumwi na 'malaria' basi atakuwa ana stress za kufa mtu.
zile stress za mtu akikutizama tu unaona keshakukera let alone ajaribu kukuzungumzisha au kukugusa.
na mara nyingi stress za hivyo chanzo kinakuwa mtu wa karibu ......(alolala pembeni?)
mwenzio pengine anafata sunna ya kulala kwa ubavu wa kulia .....hehehe
na kikawaida yao wenyewe wanalala kwa mfumo wa spooning, mwanamme akitoa protection zote kwa bibie. Leo mzee kampa distance, bi shosti anajiuliza kulikoni?
Hapa jamaa anaendeleza adhabu ya kumnyima tundi bibie,na bibie anajiuliza hivi huyu jamaa atamaliza adhabu yake lini angalau aniguse tu.Mtazame bibie alivyojikunyata anaonekana yuko guilty kwa jambo fulani na anaogopa hata kulala hapo kitandani ila basi tu pingu zinambana.
...hivi inawezekana mke akawa kitandani na mumewe ilhali kajawa na stress kibao kumuwazia mwanaume wa nje?
Shida yote ya nini hiyo?
...hivi inawezekana mke akawa kitandani na mumewe ilhali kajawa na stress kibao kumuwazia mwanaume wa nje?
Shida yote ya nini hiyo?
mbu
huna habari eee?
unaambiwa lala kwa ubavu wa kulia, usipoweza, basi kwa ubavu wa kushoto, usipoweza lala chali......kifudi fudi haipendekezwi kabisa 🙂
sina hakika kama hili ni kweli
hii ipo sana tu mawasiliano yakiwa mabovu naamini kwenye maisha kila binadamu kuna jambo analipenda zaidi iwe kwenye mapenzi au chochote angependa kuona mwenzake anamuelewa na kulifanya
...msome Chauro, advocacy yake....
yap namsoma chauro labda ana ukweli ndani yake
...hapo ndio mtu anapolazimika kujishusha ili yaishe.
Lakini kwa mfano na mtazamo wa picha hii unadhani yupi anaelekea 'kutokukubali' yaishe?
Demu hajafikishwaaaaaaaaaa
will this be womanizing au man-nizing?du kwa hiyo ndo anamuwaza hahahah
...If walls could talk!....
Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!
hahahahaaaa... pal, no harm intended but i must say that i love you for thatmbu
huna habari eee?
unaambiwa lala kwa ubavu wa kulia, usipoweza, basi kwa ubavu wa kushoto, usipoweza lala chali......kifudi fudi haipendekezwi kabisa 🙂
the best way to avoid this one is to pray together before sleeping and to be a comedian, women like jokes alot... try itUtabadilika vipi naye ukimgusa anakwambia, "Tafadhali naomba usiniguse." halafu anasogea mbali zaidi nawe.