Tafsiri kwa Picha!

eti kalala na nguo :frusty:, si unamvua tu kimapenzi akikataa unamuonyesha mkataba wenu :A S-omg: wa kulala kama mlivyozaliwa.

Du, mazee hawa wadada wa siku hizi umvue bila ridhaa yake si kesho utajikuta kwa pilato na Tamwa wako pembeni wanakukoromea! usijaribu hiyo kitu kabisa, kama hataki na wewe una mahanjamu basi mkuu ingia zako bafuni na kipande chako cha sabuni, ukimaliza rudi zako kitandani geukia upande mwingine uvute usingizi!
 
all, hii picha iko very interesting, the moe i watch it, the more i get excited...

Imagine hiyo ni jumapili mchana na mama kajaribu kuamsha jamaa halafu jamaa is not waking up baada ya stress ya the whole week, MJ1 dont say a word, mama A atanuna

:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 

Tatizo kaka kunta wengine wanatumia nguvu zaidi kuvua than nyama ya ulimi... mimi ukinijia na (ofcouse kama niko in good terms na mwandani hahitaji hii maana the moment anaingia nyumbani anakuwa tayari ashajua kuwa leo ana overtime) hii " dia leo kuna joto ngoja nikusaidie kutoa hii nightie.... au mpenzi nimeoteshwa kuwa unawashwa mgongoni ngoja nikukune taratibu" Hayo yanasemwa kwa sauti ya upole na macho ya kubembeleza (msifikiri kuwa ni wanawake tu wanatakiwa kulegeza sauti na kurembua macho- mwanaume kulegeza sauti kunahusisha na kuongelea kooni yani unaitunisha kisex na macho unayafanya yatizame kitaratibu kama unamwonea huruma vile )... sio unakomalia "vua basi hilyo jinite dress lako" SIVUI tena na appetite inakimbia kabisa.

Jifunzeni kubembeleza kina kaka. Wanawake wanalainishwa kwa kubembelezwa. Huweziamini bembelezo dogo tu tena la kijinga mfano " Mama flani unajua leo nimeshindwa kufanya kazi kabisa... yaani nimekukumbuka sana mpenzi wangu (hata kama ni uongo) umemaliza mchezo utashangaa anasimama mwenyewe hata kama alikuwa katinga jeans taratibu anafungia mkanda huku akikurembulia macho. Kina kaka hamuhitaji nguvu kabsa. Mnajua nini MUNGU alishasema kwa jasho lenu mtakula sasa kama kula kwenu na familia yenu inabidi mtumie nguvu, ingekuwaje na kuipata hii huduma tuwafanye mtumie nguvu?? Hapana tungekuwa tunawaonea. Its just that wengi hawapendi kuielewa nguvu ya kubembeleza kwa mwanamke.


Na nyie kina dada wenzangu mh nawashauri msijivunge mwenzangu siku una kiu jiandae!! kama ni binti wa kiafrica mwenye wingi wa soni wala huna haja ya kutamka wala nini (Rose 1980 utanisaidia hapa maana we ni wale wa zama hizo)... bibi jipure bibie, jiweke kiutayari na ni haki yako ukiionea soni hakuna wa kukupigia filimbi kuwa ni zamu yako. Mwenzio siku akiwa kabanwa anasema na kutenda anajifaidia na kumaliza we ukiona haya shauri yako watoto wa mjini wanasema IMEKULA KWAKO. Zamu waitengeneza mwenyewe yaani ukiijulia wala hutakuwa na malalamiko kuwa leo umenyimwa leo wala kuwa wapewa kwa mafungu ka fungu za bamia sokoni leo zipo kesho hazichakomaa (kwa wale walaji wa bamia mtanielewa Bamia huchumwa siku moja, inayofuata unaachwa zikomae) Bidada tumia haiba yako ati... umejaaliwa macho yatumie, umejaliwa jikalio bidada litumie kwani wadhani khanga za India zinatengenezwa kimakosa bibi? kuwa hazina kwaliti ndo mana nyepesi?? La hasha ndani kuna siri ati ah jivalie dada tenda ah (mataulo yametengenezwa kwa ajili ya beach na kina kaka bidada yako khanga ya India )................jipitishe data tena ukizungusha kigudi si kwamba wamfanyia kumfurahisha yeye la hasha na wewe unayoshare ya enjoyment kwenye shindano hilo ......ahaaaa


(Samahanini leo nimekunywa valuu badala ya Mountain Dew)
 

....mnh, wikiendi hii kweli umetupa 'tuition' murua kabisa.
Can't wait to do my homeworks, LOL!
 
nDIO MAANA NILIKUPA UKAMANDA.... WE ALWAYS LEARN SOMETHING GOOD FROM YOU

BACK TO PRACTICE SESSION BUDDY!!!
 
Bidada tumia haiba yako ati... umejaaliwa macho yatumie, umejaliwa jikalio bidada litumie kwani wadhani khanga za India zinatengenezwa kimakosa bibi?

(Samahanini leo nimekunywa valuu badala ya Mountain Dew)


Orait...kwa muda huu wa 11.24PM, kumbe kichwa ndi kinafanya kazi vizuri,,

sasa MJ1, kama wale ambao hawajajaliwa jikalio, je kanga za India zinawafaa>????:ranger::ranger::ranger:

(Hivi siku hizi nani kakufunza kunywa valeur?)
 
...hapo ndio mtu anapolazimika kujishusha ili yaishe.
Lakini kwa mfano na mtazamo wa picha hii unadhani yupi anaelekea 'kutokukubali' yaishe?[/QUOTE]

Hapo inaonyesha walikwaruzana kidogo jamaa kabembeleza demu anajifanya hataki, mshkaji kachoka kaamua kupiga usingizi ndio maana amemgeukia mwenzie. Na huyo mdada anaonyesha ndio kina sie usingizi ni mpaka ulale kifuani kwa hubby ndio unakuja vizuri sasa hapo anawaza nimejifanya kususa na mi usingizi hauji mpaka nilale kifuani au nikumbatiwe sa nitafanyaje? Na inaonyesha anashindwa kujishusha. Pole yake mi ugomvi ni mchana ikishafika ucku kwa kweli nitajipendekeza ili mradi tu nilale kifuani
 
Orait...kwa muda huu wa 11.24PM, kumbe kichwa ndi kinafanya kazi vizuri,,

sasa MJ1, kama wale ambao hawajajaliwa jikalio, je kanga za India zinawafaa>????:ranger::ranger::ranger:

(Hivi siku hizi nani kakufunza kunywa valeur?)

Kaizer kwani wanakalia migongo?

Khanga za India zinamfaa kila bidada mradi tu awe mbunifu. Wawezaitumia hata kufungia kibwebwe kumchezea mwenzio ngoma.
 

MJ1 hivi ile kozi yako ya kitchen party unafanyia sh. ngapi na nitakupataje? nataka nije nichukue maujuzi lol
 

hivi jamaa alimega Jumamosi?:A S 39::thumb:
 
Kaizer kwani wanakalia migongo?

Khanga za India zinamfaa kila bidada mradi tu awe mbunifu. Wawezaitumia hata kufungia kibwebwe kumchezea mwenzio ngoma.


Sasa hicho kikalio sio Jikalio.....na kanga za India nadhani zingewafaa wenye majikalio....sasa wenye ijikalio labda ndo wazitumie kujifunga kibwebwe?....mh ngoma zingine hizi? ngoja hnagover iishe
 
ya leo kali aisee!......
 
MJ1 hivi ile kozi yako ya kitchen party unafanyia sh. ngapi na nitakupataje? nataka nije nichukue maujuzi lol
maty tafadhali ntake radhi lol.......... hivi hujui debe tupu haliachi kelele?. mie sina lolote ni makelele tu haya ya kuchangamsha jamvi.
 
MJ1,nasikia we ndo unaeandaa na kuongea kile kijisehemu cha LEO TENA-ya dina marios kile kinaitwa KITCHEN PARTY?
 
hehehehe!
I HAVE SEEN THE OTHER SIDE OF LIFE
Karibu Teamo...

MJ1 ametoa somo tamu sana aisee... nimeandaa practice session ya siku tano mkuu, nikifaulu najipa cheti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…