Tafsiri kwa Picha!

Kweli babu nimezaa, na mwanangu naye akazaa.:thumb::thumb::thumb::amen::amen::amen:
 
Karibu Teamo...

MJ1 ametoa somo tamu sana aisee... nimeandaa practice session ya siku tano mkuu, nikifaulu najipa cheti
Ukidaiwa cha ziada usijentaka ushauri.......lol mi cmo!
 
Kweli babu nimezaa, na mwanangu naye akazaa.:thumb::thumb::thumb::amen::amen::amen:
Am glad I have made your monday morning Babu yangu........ I hope nimekuzuilia wrinkle yako moja kwa kukuchekesha.

Umesahau Babu nimezaliwa kisimani ambapo kina mama wanapiga soga, nikakulia sokoni na ninazeekea kilabuni...... ntakosaje soga?
 
Kolo kolola kolo kolo kolola, embe dodo embe do limelala mchangani, embe dodo limelala mchangani, kwa huba na mazoea uwe wangu wa maisha.

Mama yake na sophia mwambie sophia wangu leo atange vile na milele na milele

Hmmmm Mwanajamii! unawamaliza watu kwa maneno yako murua na matamu sana.
 
Valuu zilikuwa zimeisha dukani akashindwa nikaponyeka lol

hhahahaa....kwani yeye ilikuwa mpaka valeur? tafuta utetezi mwengine bana...LOL ngoja kwanza nikaitafute ile sredi hapa Mbu anaeza kuniambukiza Malaria kama sio mshipa kabisa LOL
 
Hahahah BAbu kwa jinsi mkoloni alivyonitenda weekend hii.... leo atanitambua naleta na godoro kabisa hapa JF. Na asinisemeshe...............................

Basi nami nasimamisha kazi zote, tayari kupata ujuvi wa mjukuu. Kwenye mahari mbona wakwe watanikoma?
 
Mwanaume kachelewa kurudi halafu akaingia kulala kwa kunyata akidhani mwenzake kalala kumbe anamsikilizia....
 
Am glad I have made your monday morning Babu yangu........ I hope nimekuzuilia wrinkle yako moja kwa kukuchekesha.

Umesahau Babu nimezaliwa kisimani ambapo kina mama wanapiga soga, nikakulia sokoni na ninazeekea kilabuni...... ntakosaje soga?
Mimi babuyo, leo nakuwa msikilizaji tu. We mwaga mboga, ikifika zamu yangu namwaga ugali.
 
...na hapo je? ...khanga ya India haivaliki!
 
...na hapo je? ...khanga ya India haivaliki!
ha ha ha ha!
hii hali ni ya kawaida sana kwenye hii ''mikataba ya hiari''......
sasa kuna option moja ya ''taking life very easy'' then hutaumia sana.kinyume na hilo,i mean ukianza ku-compliketi mambo kwamba ''ANANIFANYIA HIVI MIMI?MIMI MWANAUME?...HAIWEZEKANI''...hapo ndugu yangu utajikuta umeangukia kwenye chama chetu kile
 
Picha ya kwanza ni ya majuto...regretting she is married to that monster....
Picha ya jamaa kalikoroga anajaribu kurekebisha hali kwa kubembeleza....
 
Picha ya kwanza ni ya majuto...regretting she is married to that monster....
Picha ya jamaa kalikoroga anajaribu kurekebisha hali kwa kubembeleza....

Actually jamaa atakuwa ametoka kwenye infi
 
...na hapo je? ...khanga ya India haivaliki!

...ilishasemwa mwanaume atakula kwa jasho lake.
Kuanzia kutongoza, kulipishwa mahari, mpaka kumbembeleza mkewe 'apatiwe haki yake!'
 
kwa kweli, pweeehh....bora kuna ukuta! mie hiyo mbona naifanyaga sana tu....mpaka kieleweke bwana.
 
kwa kweli, pweeehh....bora kuna ukuta! mie hiyo mbona naifanyaga sana tu....mpaka kieleweke bwana.

haha!..nilijua tu, actually nilikuwa nashangaa mpaka muda huu hujachangia kitu hapa :thumb:
 
haha!..nilijua tu, actually nilikuwa nashangaa mpaka muda huu hujachangia kitu hapa :thumb:

hahahahaha Mbu bana na mchango wake umekuwa exactly what you expected lol
 
...na hapo je? ...khanga ya India haivaliki!
hahahahha hapa itavaliwa ya Congo.. mkaka asimame aliwa mtupu atembee chumba kizima akijipitisha pitisha huku akimtikisa tikisa mhshmiwa.... kitaeleweka tu! Hahahaha mi ctaki

Mbu kuna unachontafuta haki ya nani leo!!
 
kwa kweli, pweeehh....bora kuna ukuta! mie hiyo mbona naifanyaga sana tu....mpaka kieleweke bwana.
Ha ha ha sisy............. ila mwenzetu una bahati maana kwa wengine ukimtikisia kiberiti siku ya kwanza itakula kwako maana waweza'nyimwa' wiki nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…