hahahahha hapa itavaliwa ya Congo.. mkaka asimame aliwa mtupu atembee chumba kizima akijipitisha pitisha huku akimtikisa tikisa mhshmiwa.... kitaeleweka tu! Hahahaha mi ctaki
Mbu kuna unachontafuta haki ya nani leo!!
kwa kweli, pweeehh....bora kuna ukuta! mie hiyo mbona naifanyaga sana tu....mpaka kieleweke bwana.
Ha ha ha sisy............. ila mwenzetu una bahati maana kwa wengine ukimtikisia kiberiti siku ya kwanza itakula kwako maana waweza'nyimwa' wiki nzima.
Ha ha ha sisy............. ila mwenzetu una bahati maana kwa wengine ukimtikisia kiberiti siku ya kwanza itakula kwako maana waweza'nyimwa' wiki nzima.
kuna wakati niligoma na yeye akaendeleza mgomo bila huruma, khaa nilifanya jitihada za kumtega mpaka tukaenda sambaba...dearest ulishawahi kujipikilisha uchi? bac unashika hiki unaacha unagusa hiki, unampitisha hapa, mara umeenda kubadili channel, mara cjui kitu gani, mbona uzalendo ulimshinda?
:A S 8:...Ssshhhhhh, ....kidogo kidogo...'watoto wamelala!'
...halafu na mashaka Nyamayao hajakusoma shurti za kivazi cha khanga za india...
Hahahahhaha leo nimecheka sana kama nakuona nyamayao mara ujifanye waokota kitu uvunguni mwa kitanda,..... mara mdudu kakutambalia ah mara wamrukia kisa umeona mende......na vile u plain lile joto walah lazima umshinde hahahah mgomo baridi!![/COLOR]
kuna wakati niligoma na yeye akaendeleza mgomo bila huruma, khaa nilifanya jitihada za kumtega mpaka tukaenda sambaba...dearest ulishawahi kujipikilisha uchi? bac unashika hiki unaacha unagusa hiki, unampitisha hapa, mara umeenda kubadili channel, mara cjui kitu gani, mbona uzalendo ulimshinda?
Mara ainuke huyooooo kwa Da Sophy...
Kweli nimeamini mtoto mtembezi atakula miguu yake... huyo jamaa kachelewa nyumbani
...na hapo je? ...khanga ya India haivaliki!
shughuli haziishagi, mara ka g-string upo jikoni unapika, mara unapita sitting room unadondosha kitu makusudi ukikiokota tu, ujue kama kuna nyama jikoni ukaepue kwanza ndio muendelee...lol..MJ1 kuna watoto humu ndani jamani wakina Finest na Roy hawajakua uctake kulianzisha kabisa.
Kaizer ni nyingi sana bana hasa kama lengo ni kussawazisha mambo!! lol usipoangalia utakuwa unachachawa akitoka unawaza kenda'pata' nini akiingia bafuni utakagua vyumba vyoote, jikoni hadi nyumba ya jirani kuhakikisha watoto wa kike wote wapo hakuna anayemiss especially wasichana wa kazi. Mradi puresha tuHivi ni nyingi eeh?
Hahahahhaha leo nimecheka sana kama nakuona nyamayao mara ujifanye waokota kitu uvunguni mwa kitanda,..... mara mdudu kakutambalia ah mara wamrukia kisa umeona mende......na vile u plain lile joto walah lazima umshinde hahahah mgomo baridi!!
Hahahahhaha leo nimecheka sana kama nakuona nyamayao mara ujifanye waokota kitu uvunguni mwa kitanda,..... mara mdudu kakutambalia ah mara wamrukia kisa umeona mende......na vile u plain lile joto walah lazima umshinde hahahah mgomo baridi!!
kuna wakati niligoma na yeye akaendeleza mgomo bila huruma, khaa nilifanya jitihada za kumtega mpaka tukaenda sambaba...dearest ulishawahi kujipikilisha uchi? bac unashika hiki unaacha unagusa hiki, unampitisha hapa, mara umeenda kubadili channel, mara cjui kitu gani, mbona uzalendo ulimshinda?
Kwa sababu moja ama nyingine, huyu dada hajaridhika, na atakuwa amenyimwa mchezo....!
...If walls could talk!....
Picha hii inakupa ujumbe gani?
Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!
Hivi ni nyingi eeh?
FUNGUKA MAMAAAA la nyama yake!......cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.
cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.