Tafsiri kwa Picha!

ehhh, saa huko mkishamaliza hicho kibarua ujue na matatizo yenu pia yamepata utatuzi, hapo mtaanza kuweka mezani kilichopelekea mgono etc, baada ya 1 hr haaa kila kitu shwari....inabidi wakati mwingine mtu uwe chizi tu sasa utafanyaje?



...sasa inakuwaje iwapo msg haiwi delivered?
 
Jamani kuna watoto hapa natamani hili li screen ningelibeba nikajibanze nalo ****** ili nikacheke kwa uhuru lol
pole maty...watu tunakuwaga busy mpaka tunatia huruma, umetingisha kibiriti mtu anafanya finishing unahanya, unafanyaje zaii ya kutumia jitihada binafc za kumtega?...lol
 
haaa Mbu sorry kumbe nimegundua nina mabadiko 5000 tayari

mabibi na mabwana, makofi tafadhali kwa Mwenyekiti! Notwithstanding pumba na mchele lakini habari ndo hiyo

Nyamayao kipenzi, hebu fanya kautaratibu wageni wapate walau soda leo!

:focus::focus:
 
Sasa hapa Mbu mkuu angalia Luv Nyamayao na switushka MJ1 wataihamisha hii sredi sasa hivi...au wanataka ban nn>LOL......

Switushka sasa mbona unataka kunipa semi-BAN??? Mchokozi hapa ni Mbu
 

Congrats Pope......
 



...sasa inakuwaje iwapo msg haiwi delivered?

ukiona msg haijawa deleved ujue hujafanya makaratee ya kutosha, unatakiwa ujipinde kuhamacsha kweli, na ukiamua kumhamasisha ujue cku hiyo hiyo unafanikiwa ukiweka kiporo kesho utakosa style mpya ya kumshawishi.
 
HONGERA MWENYEKITI.......!
umetisha sana
 

congrats luv....wakaribishe tu nipo kwa ajili yao.
 



...sasa inakuwaje iwapo msg haiwi delivered?

Hapa mshikaji anahesabiwa dhambi zake....eliza, da sophy etc...ila si lazima kusikiliza...:smile-big:
 



...sasa inakuwaje iwapo msg haiwi delivered?
Mdada anacount: Ndio kusema na leo wataka? juzi nimekupa, majuzi nimekupa, jana nimekupa, leo asubuhi nimekupa, mchana umepewa na sasa bado wataka kadi yangu ya Bank?.............

Mkaka anawaza: Atamaliza saa ngapi kulist.tuendelee?.....lol

Mbu!
 

Cheaman hongera bana...
 

........Hongera sana switushka
 
congrats luv....wakaribishe tu nipo kwa ajili yao.

Luv naona kama tupo sambamba..wewe bado kidogo tu tuwe sawa kabisa
Teamo kama asingeswekwa lupango, angeshafikisha 10,000 anatisha sana
 
MwanajamiiOne darasa umelipenda, dont try that at home bana...he he he!
.............Sawa kaka wont try it at home... ntatafuta uwanja wa mbali kidogo lol

Nimeweka kwenye diary for future use
 
Nyamayao.......duh umehitimu dada yangu loh hapa machozi yananitoka kwa kucheka. Ehee wajifanya kiuno kimeumia akikosea kukigusa hapo hapo na unatoa dozi kubwa ......lol

......Mbu nshamwambia Mod kabisaaa BAN yangu utakula wewe maana ndo unayesababisha!!!

Hapa sijui ndo wako katika hatua ya mwisho ya mgomo na ya mwanzo ya kuumaliza tatizo sasa nani aanzishe ushirikiano? Hahaha mi ctaki uchokozi jamani!!

...aah ahhaaa, kwakweli hiyo BAN nipo tayari tuitumikie wote, ha ha ha...!


...eeehhhh?! ....haki ya nani wewe ni mwisho ha ha haaa!...
Umenikumbusha mbaaaaaaaaaaali,....'watu wazima hawanuniani!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…