kiraremapojoni
JF-Expert Member
- Nov 30, 2018
- 391
- 512
Mzigo huo wanajamvi angalau tujue haki zetu za msingi mana mambo hayatabiriki kila siku kunaibuka mapya.Angalau nawe unajua mawili matatu ili usiwe mweupe sana kiasi ambacho hata mwajiri akileta za kuleta unampa baadhi ya sheria angalau anaweza akarudi nyuma maisha yakaendelea